Kadogoo na mafisadi

Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

This post has 2 Comments

2
  1. Yaani huyu Kadogoo kweli hamnazo! Enhe he, kusoma hesabu ndo ishakuwa dalili ya ufisadi, mwe, ila kana pointi, ukishajua mahesabu ukaongezea na siasa, ah, utawakoroga wengi tu mbona. Ndio maana tunawaona wanamahesabu wengi wameswekwa ndani ili hali wanaodhaniwa kuwa ni wanasiasa waliowatumia, wanapeta. Akili ya kuambiwa, changanya na yako…! Ukiwa na akili usipoweza kuitumia, wenzio wajanja wataitumia akili yako kwa faida zao, mwisho wa miaka unarudi kwako wanasema ‘alikuwa msomi sana’ ‘alichanganyikiwa kwa kuzidiwa akili’…. salaale!

  2. Hahahahaha.. watu wanaosoma saaaana huchanganyikiwa Bongo tu! Dah! Sijui nani alianzisha haya mambo; eti alizidiwa na akili…

    Ukiacha njia za Kadogoo kukwepa hisabati (hili soma linamuumiza kichwa), hii katuni ya kaka Bonda ina ujumbe mwingine mbadala – na da’ Subi naona umeshafungua macho watu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend