The First Grader

“The true story of an 84 year-old Kenyan villager and ex-Mau Mau freedom fighter who fights for his right to go to school for the first time to get the education he could never afford” – IMDb

Nimefurahi sana kuona kuwa wametengeneza filamu kuhusu huyu mzee. Ni matumaini yangu kuwa filamu hii itatukumbusha historia yetu, na pia kutuonesha umuhimu wa elimu.

Kwa kumalizia tu, ningependa kuuliza: hivi mfumo wa elimu ya watu wazima Tanzania ukoje na unaendeleaje?

Previous ArticleNext Article
Bahati was born and raised in Tanzania, and then moved to California to pursue his college education. He graduated in 2008 with a Bachelor’s Degree in Political Science and a minor in Sociology. Bahati expects to be doing his Masters in African Studies in the near future. He is currently working on starting a t-shirt business and a possible publication of some of his writings. One thing that Bahati cannot live without is music, specifically Hip Hop & Bongoflava which he argues are both the voice of the youth today, and is excited to look into how Bongoflava can be a source of further entrepreneurship among the youth in Tanzania. Bahati believes that Bongoflava can help to reduce poverty in Tanzania, as can a more collective effort among key players.

This post has 1 Comment

1
  1. Nimeipenda sana hiyo video…ha ha ha!Serikali ya Tanzania ilikuja na mpango wa MEMKWA ambao una lengo la kusaidia watu waliokosa elimu hasa ya msingi,sijajua kwa kiasi gani umefanikiwa ila ninaamini kuwa pengine mfumo wa zamani hule wa Elimu ya watu wazima inawezekana ulikuwa more effective kuliko huu mradi mpya.

    Maana nimesikia MEMKWA MEMKWA halafu sasa sisikii kitu sijui ndo ilikuwa ni kampeni ya kuchukua pesa zetu katika namna ya ufundi zaidi yaani Tanzania kwa kweli tuna safari ndefu sana!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend