Google My Activity (via TeknoKona.com)

Google My Activity (via TeknoKona.com)
Amini usiamini Google wanafahamu mambo mengi kuhusu wewe kuliko ata rafiki zako wa karibu au ndugu zako. Unakubaliana na hili?
 
Google wanafahamu jama umefanya nini kwenye simu yako ya Android, umetumia app gani, umetembelea mtandao gani, umeenda wapi na mambo mengine mbalimbali kuhusu wewe.
 
Na sasa kukusaidia kwa urahisi kuweza kufahamu yote wanayojua kuhusu wewe Google wana huduma inayoitwa ‘My Activity’. 
 
Kona ya Teknolojia - We write b't Tech in Swahili | Tunaandika kuhusu teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili! Mawasiliano/Contact: mhariri@teknokona.com