Japani na miradi ya nyuklia

Mengi yameripotiwa kwenye vyombo vya habari kuhusu matetemeko ya ardhi na tsunami nchini Japani. Na Fukushima, ambapo kuna mitambo ya kuzalisha nishati ya nyuklia, imekuwa kwenye vichwa vya habari kwa takribani wiki nzima.

Pilipili

Ifuatayo ni taswira ya muonekano wa kirusi cha ukimwi (HIV). Kama ulicheza gololi, basi kirusi hiki kina udogo wa zaidi ya mara bilioni tisini ya eneo la gololi dungu!