Vijana Nguvu ya Mabadiliko

Katika makala haya tatawamulika vijana kupitia mtazamo wa falsafa ya “vijana nguvu ya mabadiliko” na kuchambua kwa kina juu ya msukumo binafsi wa kijana wa Kitanzania juu ya uhitaji wake wa mabadiliko na nafasi yake katika kuleta na kuendeleza hayo mabadiliko.

Japani na miradi ya nyuklia

Mengi yameripotiwa kwenye vyombo vya habari kuhusu matetemeko ya ardhi na tsunami nchini Japani. Na Fukushima, ambapo kuna mitambo ya kuzalisha nishati ya nyuklia, imekuwa kwenye vichwa vya habari kwa takribani wiki nzima.

Nyumba Moja, Katiba Moja

“Bila kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.”