Japani na miradi ya nyuklia

Mengi yameripotiwa kwenye vyombo vya habari kuhusu matetemeko ya ardhi na tsunami nchini Japani. Na Fukushima, ambapo kuna mitambo ya kuzalisha nishati ya nyuklia, imekuwa kwenye vichwa vya habari kwa takribani wiki nzima.