Na Wilbert Maridadi
Tazama! Macho yako.
Tazama umbo lako
Tazama tabia yako
Hakika u mzuri mpenzi wangu…
U mzuri, macho yako ni kama hua
U mzuri, umbo lako ni kama kinu
U mzuri, tabia yako ni kama tausi
Wewe ndiye maana ya pendo nililonalo mtimani.
Wilbert Maridadi ni mwandishi wa riwaya, Ushairi na Tamthilia katika uga wa Fasihi ya Kiswahili na hadithi nyingi ametoa katika magazeti, pia ni muandaaji wa kipindi cha ULUMBI katika redio Sibuka 94.5 na Wimbi la lugha.
Anaweza..