Kiingereza cha ugoko darasani November 11, 2010June 27, 2012 Walimu wangu wengine waliokuwa waking’ang’ania kufundisha kwa Kiingereza peke yake, walikuwa wanapata shida kuelezea vizuri mambo mbalimbali.