Kwanini hawezi kuwa kama kila mtu? March 12, 2014March 12, 2014 Uhalifu (crime) ni uhalifu kwa sababu fulani. Uhalifu una mwathirika. Uhalifu hudhuru jamii. Hivyo, ni kwa vipi ushoga ni uhalifu?