Uvumbuzi mahsusi kwa walemavu


Amos Winter, mwanafunzi wa shahada ya uzamivu pale MIT, Marekani yuko njiani kuwekeza matokeo ya elimu yake katika kusaidia walemavu wa nchi maskini. Winter ametengeneza wheelchair maalum kwa walemavu wa miguu kwa ajili ya matumizi kwenye barabara zilizo na mabonde au matope tulizonazo ‘uswahilini’. Mradi wake huo uitwao, Leverage Freedom Chair, umemwezesha kushinda tuzo mbalimbali pamoja na kuweza kufundisha wanafunzi wengine kuhusu teknolojia hii. Wenzetu wa VETA na SIDO, mpoo?

Tembelea ukurasa wake hapa ili kufahamu zaidi kuhusu kazi zake.

Previous ArticleNext Article
Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend