Leo Mkanyia – TEDxDar

Leo alipata nafasi ya kutumbuiza vibao viwili kwenye kongamano la TEDxDar. Anauliza, ingekuwaje kama Nyerere angelala? Wabongo tungekuwa wapi?

Leo alizaliwa kwenye familia iliyobobea kwenye muziki. Alianza kujifunza kupiga gitaa alipokuwa na umri wa miaka nane, kwa kumtazama baba yake ambaye alikuwa gwiji wa muziki wa Jazz nchini Tanzania na bendi iliyokuwa inajulikana kwa jina la Mlimani Park Orchestra.

Inaonekana kila mtu ameamua kuwabana kwa kuwaambia ukweli vijana waliolala ili waamke… sasa hivi!

Previous ArticleNext Article
Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

This post has 1 Comment

1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend