Kampeni, sera na demokrasia

Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

This post has 5 Comments

5
  1. That’s what’s up: public participation politics. Sio kutoa hotuba tu kila siku na kusubiri makofi na vigelegele.

  2. yaani, picha zote ni picha za kampeni ya Makamba. Mkitaka kumpigia debe, sema wazi tu. hatudanganyiki.

  3. Anon, tuletee picha za mwanasiasa mwingine yoyote yule ambaye anafanya kampeni za maana; kuongea na watu, ahadi au vielelezo vinavyopimika n.k. Namaanisha sio watu kuvaa khanga au t-shirts tu, kukaa chini ya maturubai wakila pilau, mashabiki wakipiga makofi na kuwabeba wagombea.

    Na nia sio kumpigia mtu kampeni — tumeona kijana akifanya jambo jema kwenye jimbo lake, tofauti na watu (wengine wa chama tawala) ambao wanaenda na mashangingi yao kwenye majimbo wakati huu tu kabla ya uchaguzi.

  4. 1. umepata picha hizi kutoka kwa wapambe wake JM. Kwa hiyo nyie ni wapambe wake, ama mmetumwa.

    2. Wagombea wengine hawaongei na wananchi?

    3. JM hana shangingi? Hukuona picha za msafara kwenda ofisini ya chama kuchukua fomu ya kugombea?!

    tumeamka bwana…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend