Botswana’s mining industry

Mwaka huu sekta ya madini nchini Tanzania ilifanyiwa mapinduzi baada ya kuundwa sheria mpya ya madini. Miaka mingi ya mapato imepotezwa na tukiwa hatarini kuachiwa mashimo yatokanayo na uchimbaji madini (mfano: baada ya miaka 6 hifadhi za Tanzanite kwishnei), haitakuwa jambo baya tukajifunza mawili matatu kutoka kwa wenzetu Botswana.

Previous ArticleNext Article
Joji was born and grew up in Dar es Salaam, Tanzania. He graduated with a B.Sc in Biochemistry in Germany, and is now pursuing a Masters degree in Microbiology & Immunology at the Swiss Federal Institute of Technology (ETH) in Zurich, Switzerland . Joji is particularly interested in matters related to global health, and basic science research that tackles public health challenges. He is engaged in mentoring Tanzanian students in higher education issues, most notably at the Kibaha High School. In this capacity, Joji blogs with Vijana FM about scientific research and development, and how youth can gain greater access to higher learning.

This post has 1 Comment

1
  1. Dah, mpaka donge. Mimi sishangai hili kuhusu Botswana, kwasababu ya Rais mzalendo waliyekuwa naye Mh. Ian Khama. CNN walikuwa na short documentary kuhusu jamaa na jinsi anavyofanya kazi, yaani ni mzalendo na kweli yeye ni mtu wa watu, sio kama viongozi wetu wanaojitapa tapa kuwa ni watu wa watu lakini hamna lolote.

    Pili, ninawaombea kuwa wawe wameanza kujenga vitega uchumi mbadala, kwani ipo siku almasi itakwisha. Gabon majuzi Serikali yao imeingia mkataba na kampuni za kigeni kuanza kujenga vitega uchumi mbadala kwani uchimbaji wa mafuta unaelekea ukingoni. Dubai nao wamefanya hivyo hivyo, kwani wametumia fedha za mafuta kujenga na kuimarisha sekta nyingine ambazo zitawaletea fedha, badala ya kutegemea sekta moja tu ambayo ipo siku itakwisha.

    Tanzania inahitaji viongozi wazalendo tu, hapo ndipo tutakapo anza kuona mabadiliko ya maana, lakini kwa sasa viongozi wabinafsi ma mafisadi ndio wamejaa. Kwani hata sisi hayo madini, (ambayo hata hatufaidi uwepo wake) ipo siku yatakwisha. Sasa badala tuboresha na kupanua sekta ya utalii tumelala. Lakini kabda mpango wa kigamboni na bahari beach ndio vitu ambavyo vitatusongesha mbele pindi sekta hiyo ya madini itakapobaki mashimo matupu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend