Nini dhambi

Nimekuwa nikizurura sana kwenye blogs za vijana wa Tanzania. Mara nyingi watu wanapotaja nyimbo zile tunazoziita classic, wimbo ufuatao hautajwi; hata mara moja.

Mashairi yake ni magumu kuelewa? Au maneno yake ni miiba kwenye ngoma za masikio ya wengi?

Binadamu tuna utashi na hulka zetu… mengine huletwa na kiburi. Maneno makali labda yanahitajika kutukumbusha upande wa pili wa sarafu ulivyo — kila mara.

Previous ArticleNext Article
Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

This post has 1 Comment

1
  1. hawa jamaa hawajawahi kupewa heshima bongo, kosa number moja, ni kuwa wabunifu, badala ya ku-copy na kupaste (kunakili) sanaa ya wasanii wa nje, bongo crank ikiwa moja ya mifano mizuri.

    Lakini nilifurahi kuwa mmoja wa wasanii wa hili kundi alishirikishwa kwenye BET cypher.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend