“Utendaji wa Serikali ni taswira yetu”

Tarehe 4 Septemba, 2010, Metty Nyang’oro wa Radio Mbao alipata fursa ya kumhoji mjasiriamali Modesta Mahiga kwa kirefu. Ni mahojiano ya kina yanayogusa nyanja mbalimbali nchini Tanzania. Ukiacha suala la ujasiriamali kwa ujumla, Modesta alijadili kwa kirefu mambo yafuatayo:

  • Fikra za Watanzania (kwenye suala la kutafuta ajira)
  • Juhudi na kuwajibika
  • Jinsi ya kuleta mabadiliko nchini
  • Kufanya mambo ya ziada kujiendeleza
  • Mfumo wa elimu
  • Uwekezaji
  • Vipaji vya vijana
  • Na mambo mengine chungu mzima…

Nakusihi, ukipata muda sikiliza mahojiano haya:

“Tanzania ndani ya miaka 10 (ijayo) itakuja kubadilika… kuwa kitu cha ajabu.”

Previous ArticleNext Article
Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend