Lower IQs found in disease-rife countries

Please read the following article and leave your comment(s); let’s try to be as objective as possible. I would like to hear views from doctors, biologists, neurosurgeons/neuroscientists, cognitive psychologists and, lastly but not least, people who have taken more than one statistics course.

Malindi

Matatizo wanayoyapata dada zetu Afrika Mashariki ni yaleyale. Lakini tunajifanya kama hatuyaoni… Angalia kisa cha binti mmoja kutoka Malindi anayefanya biashara ya ‘kujiuza’.

Watoto wa Taliban

Kuna propaganda nyingi kuhusu watu wanaojitoa muhanga na kujilipua, hasa kutoka kwenye vyombo vya habari vya nchi za Magharibi. Lakini umeshawahi kujiuliza: Hivi, wanajaribu kutafuta chanzo?