Hatimaye

Lile sakata la barabara ya Serengeti limeripotiwa kikamilifu kwenye gazeti la wiki hii la Raia Mwema! Kama hiyo haitoshi, ripoti – ambayo kwa mtazamo wangu ni muhimu mno – imetumwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga.

Umri

Kijana, tafakari ujumbe huu muhimu kutoka kwa gwiji wa lugha ya kiswahili hayati Shaaban Robert. Sura hii imetolewa kwenye kitabu “Maisha yangu na baada ya miaka hamsini”, kilichochapishwa mwaka 1966 na Thomas Nelson and Sons, Ltd. Tafadhali kitafute!