Propaganda za Fid Q zipo kwenye mtandao!!!

Haya jamani, wale ambao tulikuwa tunalalamika kuwa kupata CDs kutoka Bongo ni mbinde…


Album ya mzee mzima Fid Q, Propaganda inapatikana hapa (bofya)! Unaweza ukapata wimbo wake mpya Ngosha the Swagga Don hapa. Wimbo ni bombaaaaaa!

“Mc’z wanaenda down, ka Zim dollerz
mie sio mtu wa Bling mie ni Culture ka Zemkala
da brightest thang shinin nxt to a Diamond
niite Ghost writter ninapoBLAZE ka Amo
mara nyingi mie nina bahati kama Lotto Machines
sio mtu wa Adventures kama FRODO kwenye Lord of the Rings
niite ROSCOE, ninapoSPEAK in tonguez ka Jenkinz
Don kama Bosco Mad kama Ice Helsink
unataka Bed fight? mie nina King size na French fries kwa Breakfast
T bone steakz na Prison break ki GANGSTA
Tatoo Plan kama Michael Scholfield
Bruce Lee wa RAP ya AFRIKA, ROCKCITY naigeza RAP SEAT…

“Alipenda kwenda na TAREHE, amesahau SIKU Hazilingani
PESA huja na STAREHE, na MATATIZO humo humo Ndani
Hakuna kinachokauka Mapema zaidi ya MACHOZI
japo MACHO hupaki Mekundu na USONI ishara ya Majonzi
Kizuri ni KIZURI lakini chenye UBORA Ni BORA
Kwa bahati MBAYA au NZURI akaja mchimba MADINI wa Kakora
Akashoboka na huyu BINTI Aliyemsafisha macho
Akamhonga, Gari, Nyumba na kile alichokuwa Nacho
Almesahau alitoa, MACHOZI, DAMU na JASHO,
kipindi ana HUSTLE, siku zi nyingi anaamini atarudi apoapo
Siku zote ADAM hakosi EVE wa Kumshawishi
Haijalishi maji ni ya MOTO lazima yataurudia UBARIDI…”

Mistari kama hii haina budi kununuliwa!

Previous ArticleNext Article
Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend