Propaganda zipo kwenye mtandao


Album ya mzee mzima Fid Q, Propaganda inapatikana hapa (bofya)! Unaweza ukapata wimbo wake mpya Ngosha the Swagga Don hapa. Wimbo ni bombaaaaaa!

“Mc’z wanaenda down, ka Zim dollerz/ mie sio mtu wa Bling mie ni Culture ka Zemkala/ da brightest thang shinin nxt to a Diamond/ niite Ghost writter ninapoBLAZE ka Amo/ mara nyingi mie nina bahati kama Lotto Machines/ sio mtu wa Adventures kama FRODO kwenye Lord of the Rings/ niite ROSCOE, ninapoSPEAK in tonguez ka Jenkinz/ Don kama Bosco Mad kama Ice Helsink/ unataka Bed fight? mie nina King size na French fries kwa Breakfast/ T bone steakz na Prison break ki GANGSTA/ Tatoo Plan kama Michael Scholfield/Bruce Lee wa RAP ya AFRIKA, ROCKCITY naigeza RAP SEAT…”

“Alipenda kwenda na TAREHE, amesahau SIKU Hazilingani/ PESA huja na STAREHE, na MATATIZO humo humo Ndani/ Hakuna kinachokauka Mapema zaidi ya MACHOZI/ japo MACHO hupaki Mekundu na USONI ishara ya Majonzi/ Kizuri ni KIZURI lakini chenye UBORA Ni BORA/ Kwa bahati MBAYA au NZURI akaja mchimba MADINI wa Kakora/ Akashoboka na huyu BINTI Aliyemsafisha macho/ Akamhonga, Gari, Nyumba na kile alichokuwa Nacho/ Almesahau alitoa, MACHOZI, DAMU na JASHO, kipindi ana HUSTLE, siku zi nyingi anaamini atarudi apoapo/ Siku zote ADAM hakosi EVE wa Kumshawishi/ Haijalishi maji ni ya MOTO lazima yataurudia UBARIDI…”

Mistari kama hii haina budi kununuliwa!

Previous ArticleNext Article

This post has 1 Comment

1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend