Kura ya maoni Zanzibar

Picha kutoka Haki Ngowi

Masaa machache yajayo wakazi wa Zanzibar wataenda kupiga kura kuhusu kuuundwa au kutokuundwa kwa “Serikali ya Umoja wa Kitaifa” visiwani Zanzibar. Kura hii muhimu inafuatia hatua ya kipekee iliyoazimishwa mwaka jana na wanasiasa wa CCM na CUF nchini Zanzibar, kukubali kufuta maslahi yao binafsi na kuweka mbele umoja na mustakabali wa wananchi wa Zanzibar.

Uwepo wa kura hii ya maoni unaweka uwezekano wa kubadilisha utaratibu uliopo kikatiba ili mgombea urais anayeshinda aweze kuunda Serikali kwa kushirikisha wajumbe wa vyama vingine vitavyokuwa vimepata kura kwa asilimia itakayobainishwa (hii ikiwa na uwezekano wa Rais kuwa na makamu atakayepatikana baada ya kushauriana na chama kitakachoshika namba mbili katika uchaguzi).

Swali la kura hii litakuwa: “Je unakubali kuwepo kwa muundo mpya wa Serikali mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2010?” Wananchi watatakiwa kuweka alama kwenye NDIO au HAPANA katika karatasi ya uchaguzi. Lets wait and see.

Previous ArticleNext Article
Joji was born and grew up in Dar es Salaam, Tanzania. He graduated with a B.Sc in Biochemistry in Germany, and is now pursuing a Masters degree in Microbiology & Immunology at the Swiss Federal Institute of Technology (ETH) in Zurich, Switzerland . Joji is particularly interested in matters related to global health, and basic science research that tackles public health challenges. He is engaged in mentoring Tanzanian students in higher education issues, most notably at the Kibaha High School. In this capacity, Joji blogs with Vijana FM about scientific research and development, and how youth can gain greater access to higher learning.

This post has 2 Comments

2
  1. Update (Maneno ya Ismail Jussa):

    Our prediction given the results we have collected throughout the islands is that the ‘YES’ vote will win by between 66% and 68%. A resounding mandate for the introduction of government of national unity. In few hours time Zanzibar will wake up to a new dawn tomorrow. It will be a Reconciliation Sunday.

  2. I really do think this is the way to go; the govt of national unity. It should have happened 15 years ago. However, reality trumps reason.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend