Mapendekezo ya Change Tanzania kwa ajili ya Katiba Mpya!
Asasi ya kiraia ya Change Tanzania walikusanyika British Council mjini Dar es Salaam tarehe 24 August, kama baraza la katiba, kwa ajili ya kujadili na kutoa mapendekezo yao kwa tume ya mabadiliko ya katiba.