Hatimaye

Lile sakata la barabara ya Serengeti limeripotiwa kikamilifu kwenye gazeti la wiki hii la Raia Mwema! Kama hiyo haitoshi, ripoti – ambayo kwa mtazamo wangu ni muhimu mno – imetumwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga.