Thula Mama

South African singer-songwriter Vusi Mahlasela dedicates his song, “Thula Mama,” to all women — and especially his grandmother.

This is one of the finest uplifting tunes I have ever heard. Trust me, it’s not just a hype.

 
Na napenda kuchukua nafasi hii kudediket huu wimbo kwa mama yangu, Ubungo Kibangu na bibi yangu, kijijini Kihurio (Same). Bila kusahau mama zetu wote waliotulea, kutuasa, kutusaidia na kuwepo karibu yetu kila tulipowahitaji/tunapowahitaji.Shukrani kwa ushujaa, ushupavu na mioyo yao migumu iliyotuambukiza maarifa, kujiamini na kutupa busara kwenye maisha yetu ya ujana. Tungekuwa wapi leo hii bila nyinyi?

Nawatakia siku njema!

Previous ArticleNext Article
Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend