Cheki hii…

Hii ni maalumu kwa wale ambao hata hawawezi kupiga dana-dana; kuna vitu viwili-vitatu vya kujifunza ili ‘ball control’ iwe makini! Kwa mfano, kutuliza mpira ‘gambani’…

Japani na miradi ya nyuklia

Mengi yameripotiwa kwenye vyombo vya habari kuhusu matetemeko ya ardhi na tsunami nchini Japani. Na Fukushima, ambapo kuna mitambo ya kuzalisha nishati ya nyuklia, imekuwa kwenye vichwa vya habari kwa takribani wiki nzima.

Nyumba Moja, Katiba Moja

“Bila kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.”