Tazama!

Na Wilbert Maridadi Tazama! Macho yako. Tazama umbo lako Tazama tabia yako Hakika u mzuri mpenzi wangu… U mzuri, macho…

Viongozi wetu wanataka wakumbukwaje?

Ili mtu awe kiongozi lazima awe na hamasa ya kuleta mabadiliko na awe na hamasa ya kuacha jina zuri nyuma yake. Lazima awe mtu mwenye maono ya mbali, uelewa wa kutosha wa jamii hii ya Watanzania, anayefahamu matatizo ya Watanzania na kama aliwahi kuwa kwenye uongozi basi angalau tujue aliwahi kufanya nini kwenye uongozi.