Vijana FM
  • Culture
  • Education
  • Entrepreneurship
  • People
  • Political Economy
  • Technology
  • Countries
    • Burundi
    • DR Congo
    • Ethiopia
    • Kenya
    • Malawi
    • Mozambique
    • Rwanda
    • Tanzania
    • Uganda
Vijana FM
  • Interviews
  • Entrepreneurship
  • Technology
  • Culture
  • Education
  • Political Economy
  • States
    • DRC
    • Ethiopia
    • Kenya
    • Rwanda
    • Tanzania
    • Uganda
  • About
  • Contact

Leonce Godfrey

Vijana FM > Articles by: Leonce Godfrey

Mambo matano muhimu kufanya kabla hujamaliza chuo

October 15, 2021October 9, 2021

Elimu ya Tanzania ina lengo la kuleta maendeleo katika jamii yetu. Ili jamii iendelee kuna umuhimu mkubwa wa kutumia elimu…

Maswali matano na Dear Coco

July 11, 2021July 11, 2021

Jacqueline Shuma ni mwanahabari mwenye shahada ya Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) aliyoipata pale St Augustine…

Mitandao mitano unayotakiwa kuijua

May 11, 2021July 11, 2021

Tangu dunia iingine katika mfumo mpya wa sayansi na teknolojia, yapo mambo mbali mbali ambayo yamebadilika katika jamii yetu. Dunia…

Maswali matano na THL

May 3, 2021April 29, 2021

Alex Patrick Achimpota, ni muhitimu wa shahada ya kwanza katika maendeleo ya fedha na uwekezaji chuo cha Mipango Dododa. Kwasasa…

Maswali matano na Eileen Mwalongo

April 8, 2021March 30, 2021

Eileen Mwalongo ni Mtanzania na mwanafunzi wa Diplomasia katika Chuo cha Vistula nchini Poland. Eileen amekuwa akijihusisha na masuala mbalimbali…

Maswali matano na Jirani App

March 29, 2021March 29, 2021

Fanuel Kiano ni mwanafunzi wa Computer Science and Technology kutoka Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere, Dar es salaam. Pia ni…

Maswali Matano na Josephine Mumwi

January 15, 2021January 16, 2021

Josephine Mumwi ni mwanamitindo Mtanzania anayefanya vizuri katika anga za kimataifa kwasasa.

Maswali matano na Ezytrade Africa

January 9, 2021January 11, 2021

EzyTrade Africa ni platform ambayo unaweza kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali ukiwa nyumbani na simu yako.

Maswali Matano na Nipe Dili

December 30, 2020December 29, 2020

Mussa ni mdau wa maendeleo hasa kwa vijana na wajasiriamali. Amekua akishiriki shughuli tofauti za kimaendeleo kupitia kazi zake rasmi…

Maswali matano na Faidha Ngaga

December 21, 2020December 29, 2020

Faidha Ngaga ni muhitimu wa shahada ya Mawasiliano kwa Umma (B.A Mass Communication) na pia ni mwandishi wa habari kwa…

Matatizo ndio njia ya kwenda kwenye mafanikio

December 3, 2020November 10, 2020

Kitu rahisi unachoweza kufundishwa na waliofanikiwa ni kujikubali. Kuwa na imani na wewe mwenyewe kwanza, kwa kupenda unachofanya na kukithamini….

Adui yako ni yule unayemuona ukitazama kioo

November 26, 2020November 10, 2020

Hakuna vita ngumu kupigana kama ile ambayo humjui adui yako, kila anayekuja maishani mwako unaweza kuona ndio kikwazo cha wewe…

Maswali Matano na Mucho Flows

November 18, 2020November 10, 2020

Richard Nchimbi, kwa jina la sanaa anajulikana kama Mucho Flows ni msanii wa muziki wa kizazi kipya akiwa tayari na…

Maswali Matano na Chausiku Foundation

November 10, 2020November 10, 2020

Chausiku Foundation ni taasisi iliyoweza kugundua mashine aina ya “ATM” ambayo inauwezo wa kutoa pedi kwa ajili ya matumizi ya…

Maswali matano na Abel Shoo

September 18, 2020September 11, 2020

Abel Stanley Shoo ni Muanzilishi na Mkurugenzi mtendaji wa Gengeni Delivery App. Gengeni Delivery App inajihusisha na nini na ulipata…

Barua ya wazi kwa wahitimu wa chuo

September 11, 2020September 12, 2020

Salamu kwa wahitimu wote mliofanikiwa kumaliza chuo mwaka huu. Kwanza poleni kwa kazi kubwa mlioifanya, hakika kumaliza chuo kwa kiwango…

Internet ni kitabu chenye maarifa na ujinga ndani yake

August 13, 2020September 3, 2020

Nadhani kitabu sio kitu kigeni masikioni kwa watu wote. Uwe mvivu au usiwe mvivu, uwe msomi au usiwe msomi ila…

Maswali matano na Alfan A. Kiyanga

August 8, 2020August 7, 2020

Alfan Athuman Kiyanga ni mchezajia wa timu ya Taifa ya walemavu na klabu ya LSL. Pia anamiliki tuzo ya Mfungaji…

Maswali matano na Neema Loth

July 28, 2020July 22, 2020

Neema Loth ni ni afisa habari na mahusiano kwa umma, pia ni mwazilishi wa Digital Detox Tanzania. 1. Nini ni…

Maswali matano na Neema A. Magimba

July 23, 2020July 24, 2020

Neema A. Magimba ni wakili wa mahakama Kuu ya Tanzania na pia ni mwazilishi shiriki wa Sheria Kiganjani. 1. Kwa…

Jinsi ya kuokoa biashara yako isife kipindi hiki cha COVID-19

June 11, 2020June 11, 2020

Katika kipindi hiki cha COVID-19, mambo mengi yamebadilika sana. Dunia haipo sawa tena kama zamani. Kila kitu kimekuwa tofauti, mienendo…

Kuna upweke na hofu, halafu kuna Corona

June 5, 2020June 5, 2020

Pamoja na yote, kadri dunia inavyozunguka katika mhimili wake kuna mambo mengi yanatokea. Yapo ya kujenga na kubomoa, mengine yanafurahisha na…

Siku 90 Zinatosha Kukujengea Mazoea ya Ushindi

April 30, 2020May 15, 2020

Watu wengi tunaishi kutokana na mazoea ambayo yamejenga tabia ambazo zinatufelisha katika mishe zetu nyingi. Kwa bahati mbaya tunashidwa jinsi…

Maswali matano na Adam A. Duma

April 30, 2020May 15, 2020

Adam A. Duma ni mwazilishi shiriki wa SmartClass Tanzania, Afisa Mkuu wa utendaji SmartClass Tanzania. Tumepata nafasi ya kuzungumza nae…