Ili mtu awe kiongozi lazima awe na hamasa ya kuleta mabadiliko na awe na hamasa ya kuacha jina zuri nyuma yake. Lazima awe mtu mwenye maono ya mbali, uelewa wa kutosha wa jamii hii ya Watanzania, anayefahamu matatizo ya Watanzania na kama aliwahi kuwa kwenye uongozi basi angalau tujue aliwahi kufanya nini kwenye uongozi.
Dhuluma za kimapenzi kwa wasichana limekuwa ni jambo la kushughulikiwa kwa dharura humu nchini.
Miongo mitano, uongo mtamu!
Ugunduzi kubadili chembechembe hai ya aina yoyote ili iwe na uwezo wa kujibadili kuwa aina nyingine, umewapatia Sir John Gordon na Prof. Shinya Yamanaka tuzo ya Nobel ya Fiziolojia na Tiba ya mwaka 2012. Tunamhoji Daniel Maeda ili atueleze kwa kina kuhusu teknlojia hii.
Pitia au wanunulie watoto wako wa wadogo zako kitabu kinachoitwa “Enjoy Chemistry, Furahia Kemia”, kisha tupe maoni yako. Hiki ni kitabu cha kwa kwanza cha kiada kilichoandikwa kwa lugha mbili (Kiingereza na Kiswahili) kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza.
“When the going gets tough, the tough gets going.”
Msikilize kijana Julius kwa makini kisha jiulize kama michango tu inayotolewa “kumsaidia” italeta mabadiliko kwenye sekta ya elimu Tanzania.
Wiki hii wanasayansi duniani kote wamefurahishwa na matokeo ya awali ya tafiti ghali kuliko zote zilizopata kufanywa na binadamu. Nia ya tafiti ni kufahamu chimbuko la tungamo (mass), au ni nini hasa hukipa maada tungamo?
The “Tuwachore Tu” animated series is a collaboration between the cartoonist Masoud Kipanya and the organization Hivos Twaweza.






Recent comments